(vi) kuendelea • (la historia ~á) habari inaendelea • (vt) kuendelea na • (continuamos oyendo…) tunaendelea kusikia… • (continuó escribiendo) aliendelea kuandika • (no continúes) usiendelee • (continuad!) endeleeni! • (v-pr: Trump continúa liderando…) Trump azidi kuongoza... • (continúan las protestas en Túnez) maandamano yaendelea Tunisia • (continúa (I)) endelea
dedicar
--
durar
kudumu • (hacer que dure) kudumisha
empezar
-anza, -anzisha • (empezaron a usar este diccionario el año pasado) walianza kutumia kamusi hii mwaka uliopita • (empezó su visita) alianzia ziara yake • (ya he empezado) nimeshaanza • (si (yo) hubiera empezado pronto, habría podido terminar antes) ningalianza mapema, ningaliweza kumaliza mapema
(vi: continuar) kuendelea • (~ con) kuendelea na • (sigue con eso / con el trabajo) uendelee nayo / na kazi • (a un líder, per~, calle) kufuata • (la ley, una conversación) kushika • (ocurrir después de) kutokea baada ya • (entender) kuelewa
tardar
kuchelewa • (vosotros los europeos tardáis en tener hijos) nyinyi Wazungu mnachelewa kuzaa watoto
terminar
kwisha / kuisha [monos] (vi; vt?) • (vt) kumaliza • (~ de hacer algo) kumaliza ku- • (ya he terminado) nimeshamaliza • (hemos terminado) tumekwisha • (no he terminado) sijamaliza