kutumaini • (frml: espero que tenga buena salud =mi esperanza usted en estado de salud) tegemeo langu mpo katika hali ya uzima • (espero que nos volvamos a ver) ninatumai tutaonana tena
pasar (no dar importancia, no querer)
--
preferir
kupenda zaidi, kustahabu • ('rather') kidogo • ('prefer, extend preference to') kupendelea (+b: dar preferencia)
querer (v.tb. 'sin querer')
kutaka • (~ q alguien haga algo) kutaka + subj • (quiero que te sientes aquí) nataka ukae hapa • (quiero que venga) nataka aje • (¿quieres comer algo?) unataka kula kitu? • (como quieras) kama unavyotaka, kama unavyopenda, upendavyo • (quisiera que fueras...) ninaomba uende... (lit: 'pido que vayas') • (...para asegurar que construyamos la Tanzania que queremos) ...ili kuhakikisha tiunajenga Tanzania tunayoitaka