kubana, kuseta • ('squash') kupondeka • (el presidente Buhari dice que ha aplastado a Boko Haram) rais Buhari asema amewabana Boko Haram
asaltar
kuvamia • ('raid', atacar) kushambulia
atacar
kushambulia (PV: -shambuliwa) • (la historia del conductor de un coche atacado por terroristas keniatas) simulizi ya dereva wa gari lililoshambuliwa na magaidi Kenya
bombardear
kushambulia kwa mabomu
chocar
('collide') kugongana • ('be broken') kuvunjika
dar (golpear; golpe, patada etc)
--
dañar
kuharibu ['to be damaged' kuharibika] • ('hurt') kuumiza
kulipua, kulipua • ('exploit') kunyonya • (v-pr: explota una bomba en un restaurante de Somalia) bomu lalipuka katika mgahawa Somalia
golpear
kupiga (psv: kupigwa) • (golpéalo) mpige (!cl obj) • (dijo que la policía lo golpeó y lo detuvo a él y a sus tres acompañantes cuando volvían a casa) amesema polisi walimpiga na kumzuilia yeye na wenzake watatu walipokuwa njiani kuelekea nyumbani