ajali (=) • (el avión tuvo un ~) ndege ilipata ajali • (en un ~ en la carretera) katika ajali ya barabarani • (v-pr: más de 100 heridos en accidente de tren en EEUU) zaidi ya 100 wajeruhiwa kwenye ajali ya treni Marekani • (el lugar del ~) tukio la ajali
emergencia
dharura (=) • (estado de ~) hali ya hatari • (salida de ~) mlango wa dharura • (en casos de ~, v-pr) inapotokea dharura (kutokea: ocurrir)
herido
najeruhi (!cl, pl=) (!n-/m-?) • (~s) majeruhi • (estar ~, resultar ~) kuumia • (adj) -liojeruhiwa • (v-pr: más de 100 heridos en accidente de tren en EEUU) zaidi ya 100 wajeruhiwa kwenye ajali ya treni Marekani • (resultaron heridos) walijeruhiwa
incendio
{fuego} moto
incidente
(~s) matukio
inundación
mafuriko
muerto
-liokufa • (los ~s) marehemu • (v-pr: el total de muertos…) idadi ya vifo… (lit: de muertes) • (v-pr) (30 muertos al este de la RDC) 30 wauawa Mashariki mwa DRC (!asesinados?)
terremoto
zilizala (=) • tetemeko (matetemeko), (CRI) tetemeko la ardhi