👷♂️ Profesiones
Español
Suajili
mwanasheria (wanasheria) • (abogado defensor) wakili wa utetezi
mwigizaji • mchezaji (wachezaji), (!) mcheza ? • (agente, en leng periodístico) mhusika (wahusika) (importante: mkubwa / wakubwa)
mwigizaji • mchezaji (wachezaji)
-huru (!no es inv?), (trabajador) -a kujiajiri
mhudumu (1/2, pl wahudumu)
muuguzi (wauguzi), nesi • (mi hermana es ~) dada yangu ni nesi
mtumishi wa serikali • (~ de inmigración) afisauhamiaji • (~ de agricultura) afisakilimo
('guard') mlinzi (walinzi) • (de ~) kuwa kwenye zamu • (la guardia costera italiana) walinzi wa pwani ya Italia
kiongozi (viongozi) • (guía turístico) mtembezaji wa waatalii, papasi •
hakimu (5/6, mahakimu) • jaji • (Dep) mwamuzi (pl waamuzi)
mwanamaji (pl wanamaji), baharia (mabaharia) (
mganga (1/2, waganga) (+b tradicional) • daktari (9/10, pl =, en Hipp: pl madaktari)
rubani (marubani) • ('aviator') mwanahewa
polisi (mapolisi), askari polisi
profesa (maprofesa) • (maestro) mwalimu (walimu)
katibu (makatibu) • (~ regional) katibu mkoa (pal compuesta) • (~ de distrito) katibu wilaya • (el S~ General de la ONU) Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa
askari (9/10an, pl=), mwanajeshi (pl wanajeshi,
mfasiri (wafasiri) • (!verif) mtafsiri (watafsiri)