(adj) -liofanya kosa • (declararse ~) kukiri hosa • (declarar ~) kuona na hatia (hatia: culpa) • (Oscar Pistorius es declarado culpable de asesinato) Oscar Pistorius apatikana na hatia ya mauaji • (el tribunal dijo que no son culpables) mahakama imesema hawana hatia • (mujer de 83 años es declarada culpable de poseer marihuana en Kenia) bibi wa miaka 83 apatikana na hatia ya kuwa na bangi nchini Kenya
inocente
bila ya kosa ('sin falta') (ser ~: kutokuwa na kosa) • (declararse ~) kutokiri
sospechoso
(n) mtuhumiwa • (adj) -a kutuhuma, -enye shaka, -a shaka • (v-pr BBC) mshukiwa (washukiwa) +, (GT) mtuhumiwa