mwananchi (wananchi) • (muchos ciudadanos de comunidades pobres están tratando ('struggling') de comprar los productos que necesitan) raia wengi katika jamii masikini wanatatizika kununua bidhaa wanazohitaji • (...que ya no es ciudadano de Tanzania) ...asiye raia wa Tanzania
mtu aliyepindukia mpaka (lit: persona que excede el límite) • (un grupo de militantes islamistas extremistas) kundi la wanamgambo wa kiislam wenye msimamo mkali
mano de obra
wafanyakazi (pl)
militante
mpigania haki • (~s) wapiganaji • (adj) '-a kutaka mapambano
terrorista
gaidi (magaidi) • (adj) -a kigaidi • (cometer un acto ~) kufanya ugaidi